ASALI MBICHI (NATURAL HONEY), MCHANGANYIKOWA ASALI MDALASINI, TANGAWIZI, VITUNGUU SWAUMU KWA TIBA YA MAGONJWA MBALIMBALI

ASALI MBICHI Asali ni dawa kubwa sana japo watu wengi hawatumii Asali, unashauri wa kutumia asali kila mara ili kuweza kujizuia na magongwa sugu na magonjwa nyemerezi yanayoweza kushambulia mwilini. Ifahamike kuwa kwasasa watu wengi wapo hatarini sana kutokana na vyakula vinavyoliwa kilasiku vinatuongezea magonjwa, lakini kama unatumia asali, maji mengi, vyakula asilia utakuwa unaepuka… Read More ASALI MBICHI (NATURAL HONEY), MCHANGANYIKOWA ASALI MDALASINI, TANGAWIZI, VITUNGUU SWAUMU KWA TIBA YA MAGONJWA MBALIMBALI