JINSI YA KUFANIKIWA KATIKA BIASHARA YAKO.

UTANGULIZI

Kufanikiwa kuna hatu ambazo wafanyabiashara na makampuni hupitia, ntaelezea baadhi ya hatua ili kuweza kukupa mafanikio katika biashara yako

Hatua

vitu unavyotamani kuwa navyo. Inatakiwa uwe na mawazo ya maisha ya mbele . Andaa ndoto yako unayohitaji kuikamilisha na uwe tayari kuikamilisha.

aid123138-900px-set-smart-goals-step-162. Weka malengo katika biashara yako kwa kutengeneza plani ya biashara yako. Angalia unataka kufikia malengo gani ili uweze kujua ufanye nini na ni kwa mda gani.

aid123138-900px-fix-your-mistakes-step-2-version-23. Jifunze kutokana na makosa. ukijifunza kutokana na makosa utaweza kujua jinsi ya kuepuka makosa na kuto yarudia tena, jaribu kufanya mambo yenye manufaa.

aid123138-900px-be-a-hard-worker-step-74. Iheshimu na kuithamini biashara yako. Ukiwa na biashara yako unakuwa na uhuru, ila uhuru huo usikufanye ukatumia mda mwingi nje ya kazi/biashara. Biashara yako itadumu na itakuwa endapo utaiheshimu na kuithamini.

aid1256160-900px-enhance-personal-creativity-step-7

5. Kuwa mbunifu. Tafuta kitu kitakacho kutofautisha na wengine katika biashara

 

aid123138-900px-improve-service-quality-at-your-business-step-17-version-2

6. Kuwa tayari kusikiliza na kujibu maswali kutoka kwa wateja. Mteja ni mtu wa muhimu sana katika biashara, ili uweze kumfanya awe mteja wako wa kila siku na akuletee wateja wengine inatakiwa umsikilize kwa makini na kumjibu maswali yake.

 

aid123138-900px-write-a-financial-report-step-2-version-2

7. Tambua kuwa kila biashara inakuwa na hatari yake kwa kuingia hasara. usikate tamaa pale utakapo pata hasara kwani ni moja ya changamoto za kibiashara cha muhimu ni kuangalia makosa na kuyarekebisha.

 

aid123138-900px-improve-service-quality-at-your-business-step-24-version-2

8. Kuwa rahisi tangaza biashara yako. jaribu kuifanya biashara yako ifahamike na watu mbalimbali ili kutanua uwazi wa wateja kutoka sehemu mbalimbali kwa kuwapa taarifa juu ya bidhaa zako na huduma zakoC__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_untitled(10)

Contact/ Wasiliana nasi 

Phone (Simu): +255766797400 /+255673797408                                                    Email: daudilyela@yahoo.com

Maisha Daily LogoOur Services ( Huduma zetu): 

  1. Research( Utafiti),

  2. Drip Irrigation Installation (Ufungaji wa Umwagiliaji wa Matone)

  3. Project Proposal ( Mapendekezo ya Miradi),

  4. Business Plan ( Plani za Biashara),

  5. Profit Assessment ( Upimaji wa Faida)

  6. Agricultural Books (Vitabu vya kilimo)

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s