KILIMO BORA CHA ILIKI (SPICE)

UTANGULIZI
Iliki ni moja kati ya mazao ambayo yanatumika sana karibia kila siku kwenye matumizi ya nyumbani,utumika kama viungo kwenye chakula na pia utumika kama tiba ya magonjwa mbalimbali.na pia ni mmea mfupi ambao unatoa matunda kwa miaka mingi.

 AINA ZA ILIKI
Kuna aina mbili za iliki ambazo  ni

 

 • malabar-huzaa kwa kutambaa ardhini na matunda yake ni madogo madogo.urefu wa mmea wa malabar ni karibia mita 3
 • mysore-matunda yake huzaliwa kwa wima,majani mapana na mmea una urefu zaidi ya mita3 

 MAZINGIRA NA HALI YA HEWA  

  • Huoteshwa kwenye maeneo yenye mvua 2500mm kwa mwaka
  • kivuli cha wastani
  • udongo wenye rutuba ya kutosha na ulio na unyevunyevu wa kutosha

  KUPANDA 
kunanjia mbili za kuotesha iliki unaweza kupanda mbegu au ukapanda miche midogo(spilits)

 • sia mbegu kwenye kitalu pandikiza mche shambani zikiwa na umri wa miezi 3-4 au zaidi zenye ukubwa wa sm 15 au zaidi  au tenganisha vimiche vinavyo zaliwa kwenye tunguu moja chini ya ardhi na pandikiza shambani.
 • tengeneza mashimo sm 60 x 60 na nafasi ya shimo panda miche kwenye mashimo. 

  KUTUNZA  

 • Weka matandazo
 • ondoa mashina ya zamani na yalio nyauka
 • rekebisha kivuli

WADUDU NA MAGONJWA

Zuia wadudu waalibifu na magonjwa ili kupata mavuno mengi nayenye ubora

 • kuoza kwa majani-dhibiti kwa kupiga dawa zenye morututu k.m dithane m-45 
 • virus(mosaic virus)- dhibiti kwa kutumia aina inayo vumilia
 • inzi mafuta zuia kwa kutumia dawa za kuuwa wadudu insecticides 

 KUVUNA

 • Huchukua miaka 3 tangia kupandwa mpaka kuzaa na kuvuna pale unapopanda miche midogo
 • ukipanda mbegu huchukua miaka 4-5 mpaka kuvuna
 • matunda huvunwa hasa mwezi march na april
 • matundwa huvunwa na kukaushwa kwenye jua

na kipanda  kunauwezekana wa kuvuna 112-300 kwa heka na 45-120kg kwa eka ikiwa imekaushwa 

Contact/ Wasiliana nasi 

Phone (Simu): +255766797400      Email: daudilyela@yahoo.com

Maisha Daily Logo

Our Services ( Huduma zetu): Research( Utafiti), Project Proposal ( Mapendekezo ya Miradi), Business Plan ( Plani za Biashara), Profit Assessment ( Upimaji wa Faida),

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s