UYOGA

Uyoga ni sehemu ya kuvu inayotokea juu ya ardhi na kukuza vibufu vinavyofanana na mbegu ya mimea. Uyoga mara nyingi huitwa mimea lakini si mimea, ni sehemu ndogo ya kuvu au fungi.

Kazi ya uyoga kwa fungi yake ni kama matunda kwa mmea yaani ni kusaidia kuzaa na kusambaza.

Uyoga ni sehemu ndogo tu ya fungi yote inayoendelea kama miseli ndani ya ardhi kwa mita nyingi.

Uyoga si fungi yenyewe bali kitu kama tunda lake. Unajengwa na nyuzi nyingi za kungunyanzi na kuwa mahali pa kukuza vibufu ambavyo ni kama mbegu wa fungi
Uyoga kama chakulaEdit

Uyoga ni maarufu kama chakula, lakini ni chakula kinachohitaji uangalifu na utaalamu. Zinapikwa, kukaangwa na aina kadhaa pia huunganishwa bichi katika saladi.

Uyoga huwa na protini nyingi pamoja na madini na vitamini ndani yake. Kwa hiyo ni chakula bora.

Kwa upande mwingine kuna uyoga za sumu zinazofanana na uyoga za kuliwa, lakini sumu yake ni kali kiasi cha kuweza kuua.
UchumiEdit

Uyoga huvunwa pale zinapokua. Hizi zinauzwa barabarani au sokoni.

Aina kadhaa (kwa mfano champignon) zinalimwa kibiashara na kuuzwa kwenye maduka makubwa. Ni aina zinazofaa kutunzwa katika friji kwa siku kadhaa.
Morpho didius Male Dos MHNT.jpg
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uyoga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari

 

Contact/ Wasiliana nasi 

Phone (Simu): +255766797400                                          Email: daudilyela@yahoo.com

Maisha Daily LogoOur Services ( Huduma zetu): 

  1. Research( Utafiti),

  2. Drip Irrigation Installation (Ufungaji wa Umwagiliaji wa Matone)

  3. Project Proposal ( Mapendekezo ya Miradi),

  4. Business Plan ( Plani za Biashara),

  5. Profit Assessment ( Upimaji wa Faida)

  6. Agricultural Books (Vitabu vya kilimo)

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s