MAYAI YA KIENYEJI

Yai ni njia ya wanyama jinsi wanavyozaa kama vile ndege, reptilia, samaki na wadudu wengi. Mayai ya mamalia na wanyama wengine kadhaa hukua ndani ya mwili, katika uterasi kwa kawaida.

Ni seli kutoka na kiumbe jike ikiungana na seli ya dume ni chanzo cha kiumbe kipya au mtoto. Kwa wanayama kama mamalia wengi seli hii inaweza kubaki ndani ya mwili na kuendelea humo.

Kwa lugha ya kawaida ni seli ile cha chanzo pamoja na akiba ya lishe kwa ajili ya kipindi cha kwanza katika maisha ya kiumbe kipya inayotegwa na mnyama nje ya mwili ili kiumbe kipya au mtoto aendelee huko hadi yuko tayari kutoka kwenye yai. Mayai huwa na ganda ya kulinda maisha mapya ndani yake.

Kutokana na kiwango cha proteini, mafuta na vitamini ya lishe ndani yake mayai hutafutwa kama chakula na wanyama na pia na binadamu.

 

Contact/ Wasiliana nasi 

Phone (Simu): +255766797400      Email: daudilyela@yahoo.com

Maisha Daily Logo

Our Services ( Huduma zetu): Research( Utafiti), Project Proposal ( Mapendekezo ya Miradi), Business Plan ( Plani za Biashara), Profit Assessment ( Upimaji wa Faida),

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s